DISQUS SHORTNAME

Baada ya kufunga ndoa Kimabadili jina lake Twitter naInstagram kuwa Kim KardashianWest

Siku chache baada ya kufunga ndoa na baba wa mwanae Kanye West, Kim abadili jina lake katika akaunti zake za Twitter na Instagram na sas...


Siku chache baada ya kufunga ndoa na baba wa mwanae Kanye West, Kim abadili jina lake katika
akaunti zake za Twitter na Instagram na sasa ni Kim Kardashian West. Mrs West amefanya mabadiliko hayo jana (May 29).
 Mr & Mrs West walifunga ndoa Jumamosi iliyopita (May 24) huko Florence, Italia na harusi yao kuhudhuriwa na ndugu pamoja na baadhi ya watu maarufu. Ripoti zinasema kuwa wazazi hao
wa North kwa sasa wako Ireland kwenye fungate yao. Juzi Kim alipost picha za kwanza za harusi yao na kuandika ‘Mr. & Mrs. Kanye West’ katika moja ya picha hizo.

Related

KWINGINEKO DUNIANI 3105995851052382280

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item