AUDIO:MUENDELEZO WA TUHUMA ZA UTEKAJI – NEY WA MITEGO AKITIRIRIKA
Bado kumekua na kutishiwa kwa watu ambao inasemekana ndio wanaopost story zinazomhusu Ney wa Mitego na Demu wake Siwema ambae hatuna uhak...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/audiomuendelezo-wa-tuhuma-za-utekaji.html
Bado kumekua na kutishiwa kwa watu ambao inasemekana ndio wanaopost story zinazomhusu Ney wa Mitego na Demu wake Siwema ambae hatuna uhakika kama wako pamoja ama jamaa kashazidiwa kete, hatutaki kutoa conclusion moja kwa moja lakini tunaendelea kukusanya vielelezo ambavyo vinahusu mkasa huu, wadatishaji wetu wako eneo la tukio mtaa wa Maendeleo eneo la Kimara Korogwe ambapo kamera ziko standby huku tukifatilia tukio moja baada ya lingine na tutakujuza hapa hapa,usiondoke……! kwa sasa msikilize jamaa akitiririka hapo ,credit kwa MILARD AYO wa CLOUDS FM kwa kazi nzuri

