DISQUS SHORTNAME

Umesikia sababu iliyosababisha Kalapina kumuacha Mkewe,sikiliza hapa

Miongoni mwa ndoa za mastar ambazo zimetajwa kufungwa kimya kimya ni pamoja na ndoa ya Kalapina ambayo imejaaliwa kupata mtoto mmoja,ndoa...


Miongoni mwa ndoa za mastar ambazo zimetajwa kufungwa kimya kimya ni pamoja na ndoa ya Kalapina ambayo imejaaliwa kupata mtoto mmoja,ndoa hii inasemekana imevunjika kimya kimya kama ilivyofungwa na hapa msikilize Soudy Brown akiongea na Kalapina mwenyewe.
Sababu kubwa ikitajwa kuwa ni mazoea
ambayo mke wake kayatengeneza kwa Wanaume’ Jibu alilolijibu Kalapina ni >>’Hapana sio kweli’ kisha akakata simu.

Related

BONGO FLAVA 587670590372525877

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item