AUDIO: Jibu la Irene Uwoya baada yakuulizwa uhusiano wake naMsami wa THT.
Jana May 28 kupitia You heard ya XXL Clouds FM ilikua ni stori kuhusu uhusiano wa Msami wa THT na mwigizaji toka Bongo Movie Irene Uwoy...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/audio-jibu-la-irene-uwoya-baada-ya.html
Jana May 28 kupitia You heard ya XXL Clouds FM ilikua ni stori kuhusu uhusiano wa Msami wa THT na mwigizaji toka Bongo Movie Irene Uwoya na jana alisikika Msami ambaye alikanusha uhusiano lakini mpenzi wake Rehema aliweka wazi kuwa ni kweli Msami ana uhusiano wa kimapenzi na Irene Uwoya. Sasa May 29 2014 ishu hii imeendela ambapo katafutwa Irene Uwoya na kuulizwa na Soudy Brown kama ni kweli ana uhusiano wa kimapenzi na Msami na swali la kwanza lilitaka kujua uhusiano wao umekuepo toka lini? Irene Uwoya: ‘Siku nyingi’
Soudy Brown: Msami kama namuona, unampa huduma zote? Irene Uwoya: ‘Sanaaa kila kitu’ Soudy Brown: Uhusiano wenu utadumu au ndio kama wa Ndikumana? Irene Uwoya: ‘Yakudumu kwa sababu nampenda’. Soudy brown alimpa Irene taarifa kuwa mpenzi wa zamani wa Msami amekasirika kwa sababu Irene kaingilia mapenzi yao jibu kutoka kwa Irene likawa >>> ‘hiyo haijalishi kwa sababu nampenda’ Bonyeza play kusikiliza.


she z a bitch serious. haon hata haya kuyasema hayo tena kny media. she z psycho 4 sure. khaaaaa nmemshusha mpk chin ya via2
ReplyDeleteyou people stop being judgmental,tena amefanya vizuri kukubali on media mana ndo mujue yupo na serengeti tuuu! whats wrong to date a dancer jamani na c yupo single i dont see the big deal lets her be.
ReplyDeletedas a big deal. m nat trying 2 say daat u cnt date dancers.
Deletewee nae kama umeachwa tembeza kiatu jipange upya coz ur not make sense kabisa iyo big deal nini hasaa?
DeleteMmmmh
ReplyDeleteMadogo nao wamezidi umalioo, shishi mwenyewe anambemenda mziwanda while ana mijibaba yake.
ReplyDeletehakuna tatizo bwana hebu tuacheni longolongo irene jinafasi kwaraha zako
ReplyDeleteYeye amejibu vizuri sana...maana angekataa pia msingeamini...safi sana irene wasikilizishe kile wanachotaka kusikia.
ReplyDelete