AUDIO EXCLUSIVE: KOLABO ZINGINE KALI ZA DIAMOND AMBAZO HAZIJATOKA
Diamond nyota yake itaendelea kung'aa na kufanikiwa zaidi baada ya kufanya collabo kali na wasanii wakali Afrika.Hayo yamesemwa na...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/audio-exclusive-kolabo-zingine-kali-za.html
Amesema collabo ambazo hazijatoka Diamond amewashirikisha Mafikizolo kutoka Afrika ya Kusini
Pia amefanya na msanii wa kike kutoka Nigeria ambae nae anarekodi kubwa Duniani kwa sasa Tiwa Savage
Pia ameshirikiana na Don Jazzy kutoka Nigeria baada ya collabo kali alilofanya na Davido
MSIKILIZE HAPA MKUBWA FELA:

