DISQUS SHORTNAME

AUDIO:BAADA YA TAARIFA KUENEA KUWA STAA WA FILAMU ZAKIBONGO ,WEMA SEPETU ANAUMWA , MSANII HUYO AMEFUNGUKA KINACHOMSUMBUA

Wiki hii haikuwa poa kwa mastaa wa Bongo ambapo alianza msanii Shaa kupigwa na malaria siku ya tuzo za Killi zilizofanyika katika ukumbi ...


Wiki hii haikuwa poa kwa mastaa wa Bongo ambapo alianza msanii Shaa kupigwa na malaria siku ya tuzo za Killi zilizofanyika katika ukumbi wa Mlimani City ,ambapo alishindwa kupafomu. Jumapili hii msanii wa bongo fleva Rehema Chalamila ‘ Ray C ’ alipatwa na homa ya Dengue mpaka akalazwa hospitali ya
Mwananyamala na sasa anaendelea vizuri na amesharuhusiwa hospitalini , akafuatia msanii wa Bongo Movie Muhsin Awadh ‘ Dr Cheni ’ naye alipatwa na homa hiyo ya dengue.
Siku za hivi karibuni taarifa zilienea kuwa staa wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu anaumwa ,msanii huyo amefunguka kinachomsumbua na kusema kuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa malaria.

Related

BONGO MOVIE 1573527633688638535

Post a Comment

  1. Pole sana mtoto wa sepetu

    ReplyDelete
  2. pole mpenz. 'kanpeleka baby' chezea mahabaaa weweeeeeeeee

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item