DISQUS SHORTNAME

ALIYEVUJISHA VIDEO YA JAY ZAKIPIGWA NA SHEMEJI YAKEATIMULIWA KAZI, ALILAMBA MIL 412 KUTOKA TMZ

JAMAA aliyevujisha video ikionyesha staa Jay  Z akipigwa na shemeji yake Solange  ametimuliwa kazi . Hoteli ya New York Standard imeamua ...


JAMAA aliyevujisha video ikionyesha staa Jay  Z akipigwa na shemeji yake Solange  ametimuliwa kazi . Hoteli ya New York Standard imeamua  kusitisha mkataba wa jamaa huyo mara moja baada ya kuvunja sheria za usalama za hoteli hiyo kwa kuvujisha tukio nyeti kama  hilo.
  Jamaa huyo anadaiwa kuwauzia TMZ kipande hicho cha video kwa dola 250, 000 sawa na shilingi 412 , 500, 000 za Tanzania

Related

KWINGINEKO DUNIANI 7341871535657818909

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item