AJALI ILIYOMUUA GEORGE TYSON HII HAPA
Dj Choka ambae alikua kwenye safari moja ya Dodoma na Marehemu George Tyson , ameandika kwamba Marehemu alikuwa yupo kijiji cha Chilonwa...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/ajali-iliyomuua-george-tyson-hii-hapa.html
Dj Choka ambae alikua kwenye safari moja
ya Dodoma na Marehemu George Tyson ,
ameandika kwamba Marehemu alikuwa yupo kijiji cha Chilonwa Chamwino kwenye utoaji wa madawati katika shule ya msingi Chaula iliyopo Dodoma .
Baada ya kumaliza shughuli hii huku akiwa kama producer wa The Mboni Show mauti yalimkuta majira ya saa 12 jioni ikiwa ni saa
4 tu toka tuanze safari ya kurudi Dar es Salaam maeneo fulani hivi kama unataka
kukaribia GAIRO mjini. Kwenye gari walikuwa watu 8 ila yeye pekee ndio aliyepoteza maisha ila wengine wamepata majeraha mwilini akiwemo dereva wa gari hilo ambapo kwa sasa mwili wa
marehemu umehifadhiwa hapa Morogoro katika hospital ya mkoa Morogoro baadae
asubuhi safari ya kurudi Dar es Salaam itaanza .
PICHA/HABARI KWA HISANI YA DJ CHOKA