ADAM KUAMBIANA AFARIKI DUNIA - R.I.P
MWIGIZAJI na Muongozaji filamu maarufu Bongo, Adam Kuambiana amefariki dunia wakati akipelekwa hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/adam-kuambiana-afariki-dunia.html
MWIGIZAJI na Muongozaji filamu maarufu Bongo, Adam Kuambiana amefariki dunia wakati akipelekwa hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kwa matibabu alfajiri ya kuamkia leo .
Marehemu alianguka chooni akiwa location katika hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remy , Dar . Kabla ya mauti kumfika , Adam alikuwa akilalamika kuwa anasumbuliwa na tumbo
Marehemu alianguka chooni akiwa location katika hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remy , Dar . Kabla ya mauti kumfika , Adam alikuwa akilalamika kuwa anasumbuliwa na tumbo

The way wema n aunty walvyokua wanataniana n marehem ndo maana nafsi zao zilikataa kwenda safari n JB. Mackin he was among the geniouses in Bongo muvi. May his soul Rest In Peace. Raha ya Milele umpe eeh Bwana, n mwanga wa milele umwangazie
ReplyDeleteR.I.P Adam
ReplyDeleteR.I.P Adam
ReplyDeleteR I P Adamu mbele yetu nyuma yako .tunamshukuru mungu kwa kutupa wewe na tumejifunza mengi kutoka kwako.mungu ni mwingi wa rehema na fadhil zake ni za milele tulimpenda ila mungu amempenda zaid.
ReplyDelete